Kilimo Fursa

Written by on June 21, 2025

Sikiliza Radio Kicheko upate fursa ya kujifunza kilimo chenye tija na manufaa kibiashara.

Utajifunza kuhusu kilimo hai (organic farming), kilimo cha matone (drip irrigation), kilimo kisichotumia udongo (hydroponic irrigation), kilimo cha shamba kitalu (green house farming), na mbinu nyingine nyingi za kilimo cha kisasa kibiashara.

Aina zote hizi za kilimo na nyingine nyingi zinafundishwa na kuchambuliwa na wataalam wa kilimo pamoja na wakulima wenye ujuzi na uzoefu toka shambani pamoja na changamoto zake na utatuzi ili kukupa wewe msikilizaji elimu ilyokamilika.

Karibu sana.


Continue reading

Next post

Kicheko Fursa


Thumbnail
Previous post

Mtandao Mpana


Thumbnail
Current track

Title

Artist

Background