Mahojiano na Kiongozi wa Serikali, Taasisi, Biashara, Kampuni, nk. Katika mahojiano haya, Kiongozi atapewa muda wa kuelezea au kufafanua mambo kadha wa kadha yanayohusiana na shughuli zake na namna zinavyoweza kumsaidia msikilizaji kumudu changamoto za maisha ya kila siku. Kiongozi atajibu maswali toka kwa wasikilizaji.