Matangazo
Matangazo ya Vifo
Radio Kicheko inapokea matangazo ya vifo ili kukuwezesha kufikisha taarifa kwa ndugu na jamaa waliopata msiba. Tafadhali bonyeza HAPA ili kupakua fomu ya tangazo la kifo. Pia unaweza kujaza na kutuma moja kwa moja hapa chini
Namna ya Kulipa
Tangazo la kifo litapangiwa muda na kuwekwa hewani baada ya kupokelewa uthibitisho wa malipo. Unaweza kulipa kwa kutumia akaunti ya benki (Uchumi Commercial Bank, A/c No. 00120500046), au Lipa namba (Vodacom 5633558) kama inavyoonyeshwa hapa chini:
![]() |
![]() |