Hiki ni kipindi chenye lengo la kukuza lugha ya kiswahili kwa kuhamasisha matumizi ya kiswahili fasaha na kutukumbusha kuhusu maana za maneno ya kiswahili, semi za kiswahili, methali za kiswahili na kutahadharisha kuhusu semi mpya zisizo rasmi ambazo zina mweleko wa kukimomonyoa kiswahili chetu.