Hiki ni kipindi cha mjadala kuhusu hoja mahsusi itakayowekwa mezani na kujadiliwa na wadau, wataalam pamoja na mamlaka za usimamizi au udhibiti kwa lengo la kuanisha mambo yanayowakabili wananchi katika utendaji wa kazi, biashara na shughuli zao za kila siku na kupatiwa majibu na mtazamo wa mamlaka husika kuhusu utatuzi wa changamoto zilizopo.