Hiki ni kipindi cha watoto kinacholenga kuangazia mambo yanayowahusu watoto kwa madhumuni ya kuwapa fursa ya kupata elimu nje ya darasa kupitia ziara na maeneo tofauti, kuwatembelea tukiandamana na wataalam mbalimbali na kuwapa fursa ya kuonyesha na kukuza vipaji vyao ili kuongeza mchango wao katika maendeleo ya familia na jamii kwa ujumla.