Wasiliana Nasi

Anuani:

            RADIO KICHEKO LIVE LTD

            48/2 MAWENZI ROAD

            25101 MOSHI

            TANZANIA

 

Simu:    

         +255 677 700 002
         +255 677 700 003
         +255 677 700 004

Email:  
          info@radiokicheko.co.tz
          radio@kicheko.com
          radiokicheko@gmail.com

MASWALI YANAYOULIZWA MARA KWA MARA

Kilimanjaro 91.1 MHz
Tanga 91.7 MHz
Manyara 88.3 MHz
Singida 90.9 MHz
Shinyanga 107.1 MHz
Kahama 107.1 MHz
Mwanza 96.5 MHz
Mbeya 93.7 MHz
Morogoro 98.3 MHz

Pakua App ya Radio Kicheko inayopatikana Play Store na Appstore. Ukiwa Play Store au Appstore nenda sehemu ya kutafuta yaani “Search” halafu andika “Radio Kicheko”

Kama unataka kupata kipindi kilichopita tuandikie ujumbe ukitaja jina la kipindi na siku kipindi kiliporuka hewani. Tukipata ujumbe wako tutakiweka hicho kipindi katika ukurasa wa Shop halafu tutakufahamisha. Baada ya hapo utaweza kukipata kwa kufungua “Shop” inayopatikana katika menu ya juu na ya chini.

Fanya yafuatayo:
1. Bofya “Add to Cart”
2. Bofya “View Cart”
3. Bofya “Proceed to Checkout”
4. Bofya “Place Order”
5. Chagua njia ya kulipia aidha “Tigo”, “Airtel” au “Kadi ya Benki” 
6. Ingiza namba ya simu au kadi ya benki
7. Ingiza namba ya siri kwenye simu yako kukamilisha malipo
8. Ukurasa wa ku-download utafunguka wenyewe baada ya malipo kukamilika

UNAWEZA KUWASILIANA NASI KWA KUANDIKA UJUMBE HAPA CHINI NA KUTUMA

Sera ya Faragha


Current track

Title

Artist

Background