Watangazaji Mahiri
Written by admin on June 21, 2025
Radio Kicheko imejumuisha jopo la waandishi na watangazaji nguli wenye uzoefu wa miaka mingi katika tasnia ya uandishi wa habari na pia vijana wanaochipukia ambao wako tayari kujifunza na kujiendeleza.
Radio Kicheko imedhamiria kujenga timu ya wanahabari wenye nidhamu ya hali ya juu, wanaofanya kazi kwa weledi na ubunifu.
Radio Kicheko inakaribisha taasisi, biashara, na watu binafsi wenye matangazo kuwasiliana nasi kwa ajili ya kupata huduma bora kwa bei nafuu.
Karibuni.