Mtandao Mpana

Written by on June 21, 2025

Radio Kicheko imepanua mtandao wake kwa kuongeza maeneo mapya ya huduma (new service areas) hadi kufikia mikoa 7 kwa takwimu za mwezi June 2025. Mikoa mingine miwili itaongezeka kabla ya mwisho wa mwaka 2025.

Mikoa ambayo Radio Kicheko inasikika na masafa yake ni

  1. Kilimanjaro 91.1 MHz,
  2. Tanga 91.7 MHz,
  3. Manyara 88.3 MHz,
  4. Singida 90.9 MHz,
  5. Shinyanga 107.1 MHz,
  6. Mwanza 96.5 MHz,
  7. Mbeya 93.7 MHz,
  8. Morogoro 98.3 MHz,
  9. Dodoma 102.9 MHz.

Katika maeneo yote hayo kuna miundombinu ya kuhakikisha kuwa huduma inapatikana wakati wote hata kama umeme utakatika kwa muda mrefu.

Hii inatoa fursa kwa taasisi na biashara zinazofanya biashara katika maeneo husika au zile zinazotaka kuongeza maeneo ya huduma na pia taasisi za umma zinazotoa huduma na elimu kwa umma. Ukutangaza nasi unauhakika wa kuwafikia zaidi ya wasikilizaji milioni moja kwa mara moja.

Karibuni sana.


Continue reading

Next post

Kilimo Fursa


Thumbnail
Previous post

Watangazaji Mahiri


Thumbnail
Current track

Title

Artist

Background