Matukio ya Kilimanjaro

Inaandaliwa na Dawati la Habari

Scheduled on

Monday 06:00 06:30
Tuesday 06:00 06:30
Wednesday 06:00 06:30
Thursday 06:00 06:30
Friday 06:00 06:30
Saturday 06:00 06:30

Jarida la Habari

Matukio ya Kilimanjaro ni mkusanyiko wa habari na matukio mbalimbali yaliyotokea katika mkoa wa Kilimanjaro kwa muda na wakati huo yakichambuliwa, kuhaririwa na kusanifiwa kwa ustadi wa hali ya juu ili kukujuza kwa namna ambayo haitakuchosha kusikiliza. Sehemu ya pili ya kipindi hiki kinaleta habari na matukio kutoka katika maeneo mengine ya nchi ambako Radio Kicheko inasikika.


Read more

Current track

Title

Artist

Background