Elimu
Radio Kicheko inakupa fursa ya kutangaza au kudhamini kipindi kwa ubora wa hali ya juu na kwa bei nafuu. Unaweza kuwasiliana na wataalam wetu kwa namba +255 677 700 003 ili kupewa utaratibu. Matangazo ya redio yamegawanyika katika mufungu kadhaa na ni muhimu kupata maelekezo sahihi ili uweze kufanya uamuzi sahihi kwako. Aina ya kwanza […]
Sikiliza Radio Kicheko upate fursa ya kujifunza kilimo chenye tija na manufaa kibiashara. Utajifunza kuhusu kilimo hai (organic farming), kilimo cha matone (drip irrigation), kilimo kisichotumia udongo (hydroponic irrigation), kilimo cha shamba kitalu (green house farming), na mbinu nyingine nyingi za kilimo cha kisasa kibiashara. Aina zote hizi za kilimo na nyingine nyingi zinafundishwa na […]
Radio Kicheko imepanua mtandao wake kwa kuongeza maeneo mapya ya huduma (new service areas) hadi kufikia mikoa 7 kwa takwimu za mwezi June 2025. Mikoa mingine miwili itaongezeka kabla ya mwisho wa mwaka 2025. Mikoa ambayo Radio Kicheko inasikika na masafa yake ni Kilimanjaro 91.1 MHz, Tanga 91.7 MHz, Manyara 88.3 MHz, Singida 90.9 MHz, […]
Sasa unaweza kusikiliza Radio Kicheko kwa kutumia simu ya kiganjani kupia App ya Radio Kicheko inayopatikana App Store na Play Store. Kama unatumia simu ya iPhone bonyeza icon ya App Store halafu bonyeza “Search” halafu andika “Radio Kicheko”. Kama unatumia simu ya Android bonyeza icon ya Play Store halafu bonyeza “Search” halafu andika “Radio Kicheko”.
-
Pages