Fahamu Elimika

Kipindi cha Kuelimisha

Scheduled on

Monday 12:00 13:00
Monday 22:00 23:00
Tuesday 12:00 13:00
Tuesday 22:00 23:00
Wednesday 12:00 13:00
Wednesday 22:00 23:00
Thursday 12:00 13:00
Thursday 22:00 23:00
Friday 12:00 13:00
Friday 22:00 23:00

Ongeza Maarifa kila Siku

Hiki ni kipindi kinacholenga kuwafahamisha na kuwaelimisha wasikilizaji kuhusu mambo mbalimbali yanayogusa maisha yao ya kila siku katika nyanja mbalimbali kama za kiuchumi, afya, kijamii, kisheria, na kadhalika. Lengo ni kupanua ufahamu wa msikilizaji kwa kujifunza mambo mapya kila siku.


Read more

Current track

Title

Artist

Background