Hiki ni kipindi cha maombi yanayotanguliwa na Neno la Mungu kwa ufupi. Maombi yanafanyika kwa ajili ya kazi zetu, wagonjwa, wasafiri, nchi yetu, amani, na kadhalika.
Unaweza kutuma sadaka sadaka yako itakayolipa gharama za kuanda kipindi hiki ili kiendelee kuwa hewani kwa kubonyeza hapa palipoandikwa SADAKA