Kipindi hiki kinakuletea mafundisho ya Neno la Mungu kutoka kwa walimu na watumishi mbali mbali. Haya ni mafundisho ya kipindi cha asubuhi yanayokujia kila siku kuanzia saa tatu hadi saa nne kamili asubuhi.
Unaweza kutuma sadaka yako itakayolipa gharama za kuandaa kipindi hiki ili kiendelee kuwa hewani kwa kubonyeza hapa palipoandikwa SADAKA