Hiki ni kipindi cha Mafundisho ya Neno la Mungu kuhusu familia. Kipindi kinalenga kujadili mada inayohusu familia, kutembelea familia na kusikiliza changamoto zao na kuziombea kwa msingi wa Neno la Mungu, kupokea message za wasikilizaji na kuzijibu kwa msingi wa Neno la Mungu, na kutoa huduma ya ushauri na maombi kwa familia.