Habari
Radio Kicheko imejumuisha jopo la waandishi na watangazaji nguli wenye uzoefu wa miaka mingi katika tasnia ya uandishi wa habari na pia vijana wanaochipukia ambao wako tayari kujifunza na kujiendeleza. Radio Kicheko imedhamiria kujenga timu ya wanahabari wenye nidhamu ya hali ya juu, wanaofanya kazi kwa weledi na ubunifu. Radio Kicheko inakaribisha taasisi, biashara, na […]
-
Pages