Author: admin

0 3

September 25, 2021

Sikiliza Radio Kicheko kwenye simu ya kiganjani kwa kutumia App ya Radio Kicheko inayopatikana Play Store na App Store. Kama unatumia simu ya Android unaweza kupakua App ya Radio Kicheko kwa kwenda Google Play Store na kuandika “Radio Kicheko” kwenye sehemu ya “Search”. Pia unaweza kwenda moja kwa moja kwa kutumia link hii: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.kicheko.radio Kwa […]

Radio Kicheko Live inakupa fursa ya kutangaza biashara yako popote pale ulipo kwa gharama nafuu kabisa. Wataalamu wetu wa masoko watakushauri namna bora ya kufikisha ujumbe wa biashara yako kwa wasikilizaji na kukusaidia kuongeza wateja. Kicheko Fursa imegawanyika katika makundi yafuatayo: COMMERCIAL – Radio Kicheko Live inatengeneza matangazo ya biashara kwa utaalamu wa hali ya […]

Radio Kicheko Live inajivunia kujumuisha jopo la Waandishi na Watangazaji nguli wenye uzoefu wa miaka mingi katika tasnia ya habari na pia vijana wanaochipukia ambao wako tayari kujifunza na kujiendeleza. Wanahabari wa Radio Kicheko Live wamepatikana baada ya kupitia mchakato mrefu wenye ushindani mkali ambapo walifanya mtihani wa mwanzo, na wale waliofaulu hatua hiyo ya […]

Sikiliza Radio Kicheko Live upate fursa ya kujifunza historia ya nchi yetu, makabila, mila desturi na matukio muhimu ya kihistoria. Wahenga walisema “Msahau kwao Mtumwa” na vile vile tunafahamu kuwa asiyekumbuka nyuma alikotoka mara nyingi huwa hana shukurani kwa sababu anakosa tathmini sahihi ya pale alipofikia. Ni vyema wakati tunajitahidi kwenda mbele, kwenda na wakati, […]

Sikiliza Radio Kicheko Live upate fursa ya kujifunza kilimo chenye tija na manufaa kibiashara. Kilimo hai (organic farming), kilimo cha matone (drip irrigation), kilimo kisichotumia udongo (hydroponic irrigation), kilimo cha shamba kitalu (green house), nk Aina zote hizi na zingine nyingi zinafundishwa na kuchambuliwa na wataalamu na pia wakulima na wajasiriamali ambao wanafahamu hali halisi […]

Radio Kicheko Live imepokea rasmi leseni ya utangazaji kwa redio kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Leseni hiyo ya miaka mitano ilikabidhiwa kwa Mkurugenzi mwenza wa Radio Kicheko Live, Mrs Phlaviana Kavishe, huko Arusha tarehe 25 Juni 2019 na Kaimu Mkurugenzi wa Kanda ya Kaskazini, Ms Imelda Salum. Radio Kicheko Live inarusha matangazo yake katika […]


Current track

Title

Artist

Background