Makala Maalum – BUMACO
Presented by Agnes Mchome
Scheduled on
Tuesday | 15:00 | 16:00 | |
---|---|---|---|
Saturday | 12:00 | 13:00 |
Makala Maalum - BUMACO
Tagged as: Elimu, Fursa, Maarifa
Majadiliano kuhusu mambo ya msingi katika masuala ya bima. Wataalamu wa mambo ya bima kutoka BUMACO watakuwa na muda wa kuelezea shughuli zao na namna zinavyoweza kumnufaisha msikilizaji. Baada ya hapo utafuata muda wa kujibu hoja na maswali ya wasikilizaji.
Read more