Matangazo

Radio Kicheko Live inapokea matangazo yafuatayo:

Matangazo ya Biashara
Biashara ni matangazo. Ukitangaza biashara yako kupitia Radio Kicheko Live unakuwa na uhakika wa kusikika na kutambuliwa na watu wengi zaidi mkoani Kilimanjaro, Arusha, Manyara na Kusini mwa Kenya. Radio Kicheko Live ni radio makini na inasikilizwa sana na watu makini ambao wanaweza kuwa wateja wako wakubwa. Matangazo ya biashara ni pamoja na “spots”, “casual” na “udhamini wa vipindi”. Kwa maelezo zaidi kuhusu matangazo ya biashara piga simu namba +255-677-700004 au tuma email [email protected]

Matangazo ya Vifo
Kama una taarifa ya msiba ambayo ungependa iwafikie watu wengi zaidi kwa muda mfupi tunakukaribisha kujaza fomu ya tangazo la kifo HAPA. Kabla ya kuituma, ilipie kwa kiasi na maelekezo yaliyo kwenye fomu, halafu tuma kwa kubofya SUBMIT.

Matangazo ya Upendo
Radio Kicheko Live inakupa nafasi kuwakumbuka, kuwapongeza na kuwasalimu wale uwapendao wakati wakiadhimisha siku yao ya kuzaliwa (birthday), harusi (wedding anniversary), kuhitimu (graduation) nk. Jaza fomu ya tangazo la upendo HAPA. Kabla ya kuituma, ilipie kwa kiasi na maelekezo yaliyo kwenye fomu, halafu tuma kwa kubofya SUBMIT..Current track

Title

Artist

Background