Changia

Radio Kicheko Live inakushukuru kwa kuendelea kufuatilia vipindi vyetu vyenye lengo la kuelimisha jamii katika mambo yanayogusa maisha yao ya kila siku. Kila siku Radio Kicheko Live inatangaza vipindi 10 tofauti, taarifa za habari 3, habari kwa ufupi mara 2, makala za habari 2, mafundisho ya Neno la Mungu na vipindi vya maombi kila asubuhi na usiku.

Kama umenufaika au kubarikiwa na vipindi vinavyorushwa na Radio Kicheko, yumkini ungependa kuchangia kwa namna moja au nyingine katika gharama za uzalishaji na utangazaji wa vipindi hivyo. Tafadhali tumia mojawapo ya njia hizi hapa:

Akaunti ya Benki

Jina la Benki: UCHUMI COMMERCIAL BANK
Swift Code: UCCTTZTZ
Jina la Akaunti: RADIO KICHEKO LIVE LTD
Akaunti No (Tshs): 00120-5000-46
Akaunti No (USD): 00122-1000-18

Mobile Money


Current track

Title

Artist

Background