Radio Kicheko App

Written by on September 25, 2021

Sikiliza Radio Kicheko kwenye simu ya kiganjani kwa kutumia App ya Radio Kicheko inayopatikana Play Store na App Store.

Kama unatumia simu ya Android unaweza kupakua App ya Radio Kicheko kwa kwenda Google Play Store na kuandika “Radio Kicheko” kwenye sehemu ya “Search”. Pia unaweza kwenda moja kwa moja kwa kutumia link hii:

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.kicheko.radio

Kwa wale wanaotumia simu za iOS kama iPhone na iPad unaweza kupakua App ya Radio Kicheko kwa kwenda App Store na kuandika “Radio Kicheko” kwenye sehemu ya “Search”. Pia unaweza kwenda moja kwa moja kwa kutumia link hii:

https://apps.apple.com/tz/app/radio-kicheko/id1532384308

Tagged as

Reader's opinions

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *Continue reading

Previous post

Kicheko Fursa


Thumbnail
Current track

Title

Artist

Background