Kipindi Maalum

Sikiliza Radio Kicheko Live upate fursa ya kujifunza historia ya nchi yetu, makabila, mila desturi na matukio muhimu ya kihistoria. Wahenga walisema “Msahau kwao Mtumwa” na vile vile tunafahamu kuwa asiyekumbuka nyuma alikotoka mara nyingi huwa hana shukurani kwa sababu anakosa tathmini sahihi ya pale alipofikia. Ni vyema wakati tunajitahidi kwenda mbele, kwenda na wakati, […]

Sikiliza Radio Kicheko Live upate fursa ya kujifunza kilimo chenye tija na manufaa kibiashara. Kilimo hai (organic farming), kilimo cha matone (drip irrigation), kilimo kisichotumia udongo (hydroponic irrigation), kilimo cha shamba kitalu (green house), nk Aina zote hizi na zingine nyingi zinafundishwa na kuchambuliwa na wataalamu na pia wakulima na wajasiriamali ambao wanafahamu hali halisi […]


Current track

Title

Artist

Background