Habari
Radio Kicheko Live inajivunia kujumuisha jopo la Waandishi na Watangazaji nguli wenye uzoefu wa miaka mingi katika tasnia ya habari na pia vijana wanaochipukia ambao wako tayari kujifunza na kujiendeleza. Wanahabari wa Radio Kicheko Live wamepatikana baada ya kupitia mchakato mrefu wenye ushindani mkali ambapo walifanya mtihani wa mwanzo, na wale waliofaulu hatua hiyo ya […]
Radio Kicheko Live imepokea rasmi leseni ya utangazaji kwa redio kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Leseni hiyo ya miaka mitano ilikabidhiwa kwa Mkurugenzi mwenza wa Radio Kicheko Live, Mrs Phlaviana Kavishe, huko Arusha tarehe 25 Juni 2019 na Kaimu Mkurugenzi wa Kanda ya Kaskazini, Ms Imelda Salum. Radio Kicheko Live inarusha matangazo yake katika […]
-
Pages
- 1