Hiki ni kipindi cha Wazee ambacho kina lengo la kuwaletea simulizi mbali mbali za wazee wakielezea uzoefu wao, changamoto walizopitia na suluhisho ili kujaribu kuwafunda, kuwafundisha na kuwaonya vijana ili kuwasaidia katika maisha yao ya baadae.
Jifunze Kiswahili Fasaha
Kipindi cha Mjadala
Kipindi cha Watoto