Hiki ni kipindi cha maombi ya muda mrefu usiku kucha yanayotanguliwa na Neno la Mungu. Maombi yanafanyika kwa ajili ya maisha yetu kufungua vifungo mbalimbali, kazi zetu, wagonjwa, wasafiri, nchi yetu, amani, na kadhalika.
Unaweza kutuma sadaka sadaka yako itakayolipa gharama za kuanda kipindi hiki ili kiendelee kuwa hewani kwa kubonyeza hapa palipoandikwa SADAKA