Hiki ni kipindi cha wanawake kinacholenga kuangazia mambo yanayowahusu wanawake kwa madhumuni ya kuchagiza ushiriki wao katika uchumi na uongozi na kuongeza mchango wao katika maendeleo ya familia na jamii kwa ujumla.
Jifunze Kiswahili Fasaha
Kipindi cha Mjadala
Kipindi cha Watoto