Kipindi hiki kinaelimisha kuhusu mambo ya msingi katika masuala ya afya. Wataalamu wa mambo ya afya watakuwa na muda wa kuelezea mada mbalimbali za afya na namna zinavyoweza kumnufaisha msikilizaji ili aweze kujikinga na maradhi kwani kinga ni bora na rahisi zaidi kuliko tiba. Baada ya hapo utafuata muda wa kujibu hoja za wasikilizaji.