Kipindi hiki kinaelimisha kuhusu mambo ya msingi katika masuala ya sheria. Wataalamu wa mambo ya sheria watakuwa na muda wa kuelezea sheria mbalimbali na namna zinavyoweza kumnufaisha msikilizaji kwani kutokujua sheria siyo kinga dhidi ya mashtaka ya kuvunja sheria. Baada ya hapo utafuata muda wa kujibu hoja za wasikilizaji.