Scheduled on
|
|
|
|
Wednesday |
20:15 |
|
21:00 |
Thursday |
14:00 |
|
15:00 |
Majadiliano kuhusu mambo ya msingi katika masuala ya utalii pamoja na kujibu maswali ya wasikilizaji.
Majadiliano kuhusu mambo ya msingi katika masuala ya utalii. Wataalamu wa mambo ya utalii watakuwa na muda wa kuelezea shughuli zao na namna shughuli za utalii zinavyoweza kumnufaisha msikilizaji. Baada ya hapo utafuata muda wa kujibu hoja na maswali ya wasikilizaji.
Read more
Podcast of previous episodes
Sorry, there is nothing for the moment.
Mtaalamu wetu – Utalii team
Sorry, there is nothing for the moment.
Mtaalamu wetu – Utalii crew
Mwilla Thomas ni mwandishi wa habari anayechipukia mwenye ujuzi wa kuandaa vipindi na kutangaza.