Mtaalamu wetu – Kilimo

Presented by Francisca Minja

Scheduled on

Thursday 20:15 21:00
Friday 14:00 15:00

Mtaalamu wetu - Kilimo

Tagged as: , ,
Majadiliano kuhusu mambo ya msingi katika masuala ya kilimo pamoja na kujibu maswali ya wasikilizaji.

Majadiliano kuhusu mambo ya msingi katika masuala ya kilimo. Wataalamu wa mambo ya kilimo watakuwa na muda wa kuelezea shughuli zao na namna zinavyoweza kumnufaisha msikilizaji. Baada ya hapo utafuata muda kujibu hoja za wasikilizaji.


Read more

Podcast of previous episodes

Sorry, there is nothing for the moment.

Related news


Mtaalamu wetu – Kilimo team

Sorry, there is nothing for the moment.

Mtaalamu wetu – Kilimo crew

Francisca Minja ni mwandishi wa habari mzoefu mwenye uwezo wa kuchakata habari na kuandaa vipindi.


Current track

Title

Artist

Background