Karibu Kiongozi

Presented by Zenobia Mtei

Scheduled on

Monday 08:00 09:00
Tuesday 08:00 09:00
Wednesday 08:00 09:00
Thursday 08:00 09:00
Friday 08:00 09:00

Karibu Kiongozi

Tagged as: , ,
Mahojiano na Kiongozi wa Serikali, Taasisi, Biashara, Kampuni, nk. Kiongozi pia atajibu maswali ya wasikilizaji.

Mahojiano na Kiongozi wa Serikali, Taasisi, Biashara, Kampuni, nk. Katika mahojiano haya, Kiongozi atapewa muda wa kuelezea au kufafanua mambo kadha wa kadha yanayohusiana na shughuli zake na namna zinavyoweza kumsaidia msikilizaji kumudu changamoto za maisha ya kila siku. Kiongozi atajibu maswali toka kwa wasikilizaji.


Read more

Podcast of previous episodes

Sorry, there is nothing for the moment.

Related news


Karibu Kiongozi team

Mwilla Thomas ni mwandishi wa habari anayechipukia mwenye ujuzi wa kuandaa vipindi na kutangaza.

Msigwa Stanley ni mwandishi wa habari mzoefu mwenye uwezo wa kuandaa vipindi na kutangaza.


Karibu Kiongozi crew

Zenobia Mtei ni mwandishi wa habari mzoefu mwenye uwezo wa kuchakata habari na kuandaa vipindi.


Current track

Title

Artist

Background