Kazi ni Kazi

Asiyefanya Kazi na Asile

Scheduled on

Monday 11:15 11:30
Tuesday 11:15 11:30
Wednesday 11:15 11:30
Thursday 11:15 11:30
Friday 11:15 11:30

Kazi ni Uhai

Hiki ni kipindi kinacholenga kuwahamasisha wasikilizaji kufanya kazi, kuthamini kazi na kutunza kazi bila kujali ni kazi ya namna gani, yenye hadhi gani au yenye kipato gani. Tusichague kazi, tutafute kazi na tunapopata tufanye kazi kwa bidii na kwa uaminifu.


Read more

Current track

Title

Artist

Background