Kipindi hiki kinaelimisha kuhusu mambo ya msingi katika masuala ya kilimo. Wataalamu wa mambo ya kilimo watakuwa na muda wa kuelezea shughuli zao na namna zinavyoweza kumnufaisha msikilizaji ili aweze kutoka katika kilimo cha mazoea na kufanya kilimo chenye tija zaidi. Baada ya hapo utafuata muda wa kujibu hoja za wasikilizaji.