Uwanda wa Michezo

Scheduled on

Monday 10:30 11:00
Tuesday 10:30 11:00
Wednesday 10:30 11:00
Thursday 10:30 11:00
Friday 10:30 11:00

Tagged as
Uwanda wa michezo ni kipindi chenye lengo la kukuhabarisha kuhusu matokeo ya michezo mbalimbali

Uwanda wa michezo ni kipindi chenye lengo la kukuhabarisha kuhusu matokeo ya michezo mbalimbali iliyochezwa hapa nchini na duniani kote, kukuletea habari na matukio ya michezo mbalimbali, na vile vile kukujuza kuhusu michezo inayotegemea kuchezwa hapo baadae.

Mkazo na msisitizo ni habari za hapa nyumbani kuanzia chandimu, yaani timu na ligi za mitaani au kijijini, hadi ngazi ya taifa kwa michezo yote na sio mpira wa miguu peke yake.


Read more

Uwanda wa Michezo crew

Agnes Mchome ni mwandishi wa habari anaechipukia mwenye uwezo wa kuandaa vipindi na kutangaza.


Current track

Title

Artist

Background