Makala Maalum

Radio Kicheko Live inatambua kuwa wewe msikilizaji wetu ungependa sana kufuatilia vipindi vyetu vya “Makala Maalum” kila vinaporuka hewani lakini hilo haliwezekani kwa sababu ya majukumu ya kikazi na biashara na pengine safari.

Kwa sababu hiyo Radio Kicheko Live imekuandalia hazina ya vipindi vya “Makala Maalum” katika mfumo wa “podcast” ili uweze kuvisikiliza wakati utakapokuwa na nafasi. Kwa kuwa vipindi ni nyingi na vinaendelea kuzalishwa kila siku tumeamua kuanza huduma hii kwa kuweka vipindi vya Makala Maalum za wadau wetu muhimu ambao ni Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na kampuni ya Business and Management Consultants (BUMACO).

Radio Kicheko Live itaendelea kuongeza hazina ya vipindi vingine kwa kadri ya uhitaji na mahitaji ya wadau wetu.

Ifuatayo ni hazina ya vipindi vya Makala Maalum vilizorushwa hapa Radio Kicheko Live:

  1. Mwongozo kwa Watumiaji wa Huduma na Bidhaa za Mawasiliano
  2. Bima Maendeleo na BUMACO
  3. Kodi kwa Maendeleo ya Taifa
  4. Taasisi ya Askofu Mstaafu Dr Martin ShaoCurrent track

Title

Artist

Background