Makala Maalum – TCRA

Presented by Francisca Minja

Scheduled on

Saturday 20:15 21:00
Sunday 14:00 15:00

Makala Maalum - TCRA

Tagged as , ,
Majadiliano kuhusu mambo ya msingi katika masuala yanayohusu matumizi ya huduma na bidhaa za mawasiliano pamoja na kujibu maswali ya wasikilizaji.

Elimu kwa jamii kuhusu Mwongozo kwa Watumiaji wa Huduma na Bidhaa za Mawasiliano. Majadiliano kuhusu mambo ya msingi kuhusu haki na wajibu wa mtumiaji wa bidhaa za mawasiliano. Wananchi wanauliza maswali kuhusiana na mada inayowekwa mezani na Wataalamu wa TCRA watakuwa na muda wa kutoa maelezo na kuelezea shughuli zao na namna zinavyoweza kumnufaisha msikilizaji. Baada ya hapo utafuata muda wa kujibu hoja za wasikilizaji.


Read more

Podcast of previous episodes

Sorry, there is nothing for the moment.

Related news


Makala Maalum – TCRA team

Mwilla Thomas ni mwandishi wa habari anayechipukia mwenye ujuzi wa kuandaa vipindi na kutangaza.

Msigwa Stanley ni mwandishi wa habari mzoefu mwenye uwezo wa kuandaa vipindi na kutangaza.


Makala Maalum – TCRA crew

Francisca Minja ni mwandishi wa habari mzoefu mwenye uwezo wa kuchakata habari na kuandaa vipindi.


Current track

Title

Artist

Background