Sunday
05:30Sunday
Maombi kila siku asubuhi kuombea Nchi, Mkoa, Mji, Wasafiri, Wagonjwa, nk
Learn more06:00Sunday
Kipindi kinachomuandaa msikilizaji kwenda kanisani kumwabudu Mungu wake
Learn more07:00Sunday
Uwanda wa matukio ukijumuisha Taarifa ya Habari na uchambuzi wa matukio mbalimbali yaliyotokea na yanayoendelea hapa mkoani Kilimanjaro, Kitaifa, Kimataifa, Habari za Uchumi na Michezo
Learn more07:30Sunday
Matukio Kilimanjaro, Taarifa ya Habari, Maji + Umeme update, Muziki na Matangazo
Learn more08:00Sunday
Kipindi cha Watoto
Learn more09:00Sunday
Mkusanyiko wa baadhi ya vipindi vya "Kubwa 6" za wiki nzima
Learn more10:00Sunday
Ibada ya Jumapili
Learn more11:00Sunday
Mkusanyiko wa baadhi ya vipindi vya "Kubwa 6" za wiki nzima
Learn more12:00Sunday
Kipindi cha wanawake
Learn more13:00Sunday
Uwanda wa matukio ukijumuisha Taarifa ya Habari na uchambuzi wa matukio mbalimbali yaliyotokea na yanayoendelea hapa mkoani Kilimanjaro, Kitaifa, Kimataifa, Habari za Uchumi na Michezo
Learn more13:30Sunday
Muziki na Matangazo
Learn more14:00Sunday
Majadiliano kuhusu mambo ya msingi katika masuala yanayohusu matumizi ya huduma na bidhaa za mawasiliano pamoja na kujibu maswali ya wasikilizaji.
Learn more15:00Sunday
Nyimbo za Kwaya
Learn more16:00Sunday
Muziki na Matangazo
Learn more16:30Sunday
Mkusanyiko wa kero zilizoibuliwa katika vipindi vya "Kicheko Mitaani" wiki nzima na utatuzi wake
Learn more18:00Sunday
Kipindi cha Wazee wakisimulia uzoefu wao katika masuala mbalimbali kwa namna ambayo itawafunda, kuwafundisha na kuwaonya vijana.
Learn more19:00Sunday
Uwanda wa matukio ukijumuisha Taarifa ya Habari na uchambuzi wa matukio mbalimbali yaliyotokea na yanayoendelea hapa mkoani Kilimanjaro, Kitaifa, Kimataifa, Habari za Uchumi na Michezo
Learn more19:30Sunday
Habari mbali mbali, Taarifa ya Habari toka TBC, Muziki na Matangazo
Learn more20:00Sunday
Ibada ya Jumapili
Learn more21:00Sunday
Mafundisho ya Neno la Mungu kuhusu masuala ya familia, Maombi na Maombezi. Kipindi hiki kinaongozwa na Timu ya Maombi ya Radio Kicheko - Phlaviana Kavishe, Martha Makyao, Moses Jingu na Vumulia Samson
Learn more04:30Sunday
Muziki na matangazo
Learn more