Monday
05:30Monday
Maombi kila siku asubuhi kuombea Nchi, Mkoa, Mji, Wasafiri, Wagonjwa, nk
Learn more06:00Monday
Habari na matukio mbalimbali yaliyotokea na yanayoendelea mkoani Kilimanjaro
Learn more06:30Monday
Matukio Kilimanjaro, Taarifa ya Habari, Maji + Umeme update, Muziki na Matangazo
Learn more07:00Monday
Uwanda wa matukio ukijumuisha Taarifa ya Habari na uchambuzi wa matukio mbalimbali yaliyotokea na yanayoendelea hapa mkoani Kilimanjaro, Kitaifa, Kimataifa, Habari za Uchumi na Michezo
Learn more07:30Monday
Matukio Kilimanjaro, Taarifa ya Habari, Maji + Umeme update, Muziki na Matangazo
Learn more08:00Monday
Mahojiano na Kiongozi wa Serikali, Taasisi, Biashara, Kampuni, nk. Kiongozi pia atajibu maswali ya wasikilizaji.
Learn more09:00Monday
Mafundisho kutoka kwa walimu mbali mbali wa Neno la Mungu
Learn more10:00Monday
Kero mbalimbali zinazoibuliwa na wananchi mitaani na majibu ya utatuzi toka kwa mamlaka husika
Learn more10:30Monday
Matukio Kilimanjaro, Taarifa ya Habari, Maji + Umeme update, Muziki na Matangazo
Learn more11:15Monday
Simulizi za kusisimua na kuhamasisha toka kwa watu mbalimbali wanaofanya kazi mbalimbali zinazowapatia kipato halali kuwawezesha kuendesha maisha yao.
Learn more11:30Monday
Historia ya mambo mbalimbali yaliyotokea siku za nyuma
Learn more11:45Monday
Muziki na Matangazo
Learn more12:00Monday
Makala za kuelimisha jamii kutokana na utafiti katika nyanja za afya, sayansi, teknolojia, biashara, michezo na burudani
Learn more13:00Monday
Uwanda wa matukio ukijumuisha Taarifa ya Habari na uchambuzi wa matukio mbalimbali yaliyotokea na yanayoendelea hapa mkoani Kilimanjaro, Kitaifa, Kimataifa, Habari za Uchumi na Michezo
Learn more13:30Monday
Muziki na Matangazo
Learn more14:00Monday
Kipindi cha wanawake
Learn more15:00Monday
Kipindi cha Wazee wakisimulia uzoefu wao katika masuala mbalimbali kwa namna ambayo itawafunda, kuwafundisha na kuwaonya vijana.
Learn more16:00Monday
Muziki na Matangazo
Learn more16:15Monday
Historia ya mambo mbalimbali yaliyotokea siku za nyuma
Learn more16:30Monday
Kero mbalimbali zinazoibuliwa na wananchi mitaani na majibu ya utatuzi toka kwa mamlaka husika
Learn more17:00Monday
Habari kubwa sita zilizofikia katika dawati la habari la Radio Kicheko Live katika siku ya leo.
Learn more18:00Monday
Mahojiano na Kiongozi wa Serikali, Taasisi, Biashara, Kampuni, nk. Kiongozi pia atajibu maswali ya wasikilizaji.
Learn more19:00Monday
Uwanda wa matukio ukijumuisha Taarifa ya Habari na uchambuzi wa matukio mbalimbali yaliyotokea na yanayoendelea hapa mkoani Kilimanjaro, Kitaifa, Kimataifa, Habari za Uchumi na Michezo
Learn more19:30Monday
Habari mbali mbali, Taarifa ya Habari toka TBC, Muziki na Matangazo
Learn more20:15Monday
Majadiliano kuhusu mambo ya msingi katika masuala ya afya pamoja na kujibu maswali ya wasikilizaji.
Learn more21:00Monday
Mafundisho kutoka kwa walimu mbali mbali wa Neno la Mungu.
Learn more22:00Monday
Makala za kuelimisha jamii kutokana na utafiti katika nyanja za afya, sayansi, teknolojia, biashara, michezo na burudani
Learn more23:00Monday
Maombi ya usiku kuombea Nchi, Mkoa, Mji, Wasafiri, Wagonjwa, nk
Learn more23:30Monday
MKESHA WA MAOMBI wenye Mafundisho ya Neno la Mungu na Maombi Kufungua Vifungo vya Ardhi, Miungu, Madhabahu nk katika Maisha ya Watu
Learn more04:30Monday
Muziki na matangazo
Learn more