Radio Kicheko App

Written by on October 1, 2020

Sikiliza Radio Kicheko kupitia simu yako ya kiganjani kwa kupakua App ya Radio Kicheko inayopatikana Apple App Store kwa wenye simu za iPhone / Tablet za iPad na Google Play Store kwa wenye simu na tablet za Android.

Ukishafungua App Store au Play Store kwenye sehemu ya kutafuta (search) andika “Radio Kicheko” na hiyo App itakuja mara moja halafu fuata maelekezo ya kupakua na ku-install na kufungua.

Unaweza pia kutumia link hizi hapa kwenda moja kwa moja kwenye App:
Google Play Store Link:
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.kicheko.radio
App Store Link:
https://apps.apple.com/tz/app/radio-kicheko/id1532384308


Continue reading

Previous post

Kicheko Fursa


Thumbnail
Current track

Title

Artist

Background