Hazina

Vipindi vya Radio Kicheko Live sasa vinapatikana katika tovuti hii ya hazina ya vipindi (podcast). Vipindi vimepangwa kwa makundi (vipindi) na kila kipindi kimoja kinachoruka hewani ni "toleo".

Kutokana na changamoto ya raslimali na nafasi, tutaweka hapa matoleo mapya yasiyozidi 6 kwa kila kipindi. Lakini kama kuna toleo unalolipenda na ungependa liwekwe hapa tuambie tutafanya hivyo.

Featured Shows

View all shows

Taasisi ya askofu mstaafu Dr Martin Shao imejikita katika kusaidia watoto wanaoishi katika familia zenye uhitaji mkubwa ili nao waweze kuishi maisha ya kawaida kwa kuwapatia misaada ya chakula, bima ya afya, elimu na kadhalika.

Bima Maendeleo na Bumaco ni mfululizo wa vipindi vinavyodhaminiwa na kampuni ya bima ya Bumaco vyenye madhumuni ya kutoa elimu ya bima kwa wasikilizaji na kuwahamasisha kutumia huduma ya bima kwa manufaa yao

Kodi kwa Maendeleo ya Taifa ni mfululizo wa vipindi vinavyolenga kumuelimisha msikilizaji juu ya haki na wajibu wake katika masuala mbalimbali yanayohusu kodi, aina za kodi, ukadiriaji na namna kodi yake inavyotumika

Mwongozo kwa Watumiaji wa Huduma na Bidhaa za Mawasiliano ni mfululizo wa vipindi vinavyolenga kumuelimisha msikilizaji juu ya haki na wajibu wake katika masuala yote yanayohusu sekta ya mawasiliano

Latest Episodes