Mwongozo-TCRA
Radio Kicheko Live February 11, 2020
MWONGOZO KWA WATUMIAJI WA HUDUMA
NA BIDHAA ZA MAWASILIANO
Vifuatazo ni vipindi vya Mwongozo kwa Watumiaji wa Huduma na Bidhaa za Mawasiliano vinavyorushwa hapa Radio Kicheko Live kila siku za Jumamosi saa mbili na robo usiku na kurudiwa Jumapili saa nane mchana. Aidha kila kipindi hurushwa kwa wiki mbili mfululizo. Vipindi hivi vitakuwepo hapa kwa miezi mitatu yaani vipindi sita. Tafadhali jisajili kwa kubofya “Register” au kama tayari ulishajisajili andika “username” na “password” yako halafu bofya “Login” kusikiliza vipindi hivi.
Kipindi cha Ishirini na Tano – Tarehe 5 Desemba na 12 Desemba 2020
Kipindi cha Ishirini na Nne – Tarehe 21 Novemba na 28 Novemba 2020
Kipindi cha Ishirini na Tatu – Tarehe 7 Novemba 2020 na 14 Novemba 2020
Kipindi cha Ishirini na Mbili – Tarehe 24 Oktoba 2020 na 31 Oktoba 2020
Kipindi cha Ishirini na Moja – Tarehe 10 Oktoba 2020 na 17 Oktoba 2020
Kipindi cha Ishirini – Tarehe 26 Septemba 2020 na 3 Oktoba 2020