Kodi na Maendeleo – TRA

Radio Kicheko Live June 5, 2020

KODI NA MAENDELEO

Vifuatavyo ni vipindi vya Kodi na Maendeleo vinavyorushwa hapa Radio Kicheko Live kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kila siku za Jumamosi saa kumi na mbili jioni na kurudiwa Jumatano saa tisa mchana. Aidha kila kipindi hurushwa kwa wiki mbili mfululizo. Vipindi hivi vitakuwepo hapa kwa miezi mitatu yaani vipindi sita. Tafadhali jisajili kwa kubofya “Register” au kama tayari ulishajisajili andika “username” na “password” yako halafu bofya “Login” kusikiliza vipindi hivi.

Kipindi cha Kumi na Nne – Taasisi za Dini na Hisani – Tarehe 5 Desemba na 12 Desemba 2020

Kipindi cha Kumi na Tatu – Stempu za Kielektroniki – Tarehe 21 Novemba na 28 Novemba 2020

Kipindi cha Kumi na Mbili – Ulipaji Kodi ya Majengo – Tarehe 7 Novemba 2020 na 14 Novemba 2020

Kipindi cha Kumi na Moja – Huduma kwa Mlipa Kodi – Tarehe 24 Oktoba 2020 na 31 Oktoba 2020

Kipindi cha Kumi – Kodi ya Mapato Usafirishaji – Tarehe 10 Oktoba 2020 na 17 Oktoba 2020

Kipindi cha Tisa – Ulipaji Kodi kwa Wakati – Tarehe 26 Septemba 2020 na 3 Oktoba 2020
Current track

Title

Artist

Background