Bima-BUMACO

Radio Kicheko Live April 27, 2020

BUMACO, Bima na Maendeleo

Vifuatazo ni vipindi vya Bima Maendeleo na BUMACO vinavyorushwa hapa Radio Kicheko Live kila siku za Jumamosi saa sita kamili mchana na kurudiwa Jumanne saa tisa mchana. Aidha kila kipindi hurushwa kwa wiki mbili mfululizo. Vipindi hivi vitakuwepo hapa kwa miezi mitatu yaani vipindi sita. Tafadhali jisajili kwa kubofya “Register” au kama tayari ulishajisajili andika “username” na “password” yako halafu bofya “Login” kusikiliza vipindi hivi.

Kipindi cha Kumi na Saba – Tarehe 28 Novemba na 5 Desemba 2020

Kipindi cha Kumi na Sita – Tarehe 14 Novemba na 21 Novemba 2020

Kipindi cha Kumi na Tano – Tarehe 31 Oktoba na 7 Novemba 2020

Kipindi cha Kumi na Nne – Tarehe 17 Oktoba na 24 Oktoba 2020

Kipindi cha Kumi na Tatu – Tarehe 3 Oktoba na 10 Oktoba 2020

Kipindi cha Kumi na Mbili – Tarehe 19 Septemba na 26 Septemba 2020
Current track

Title

Artist

Background