Askofu Shao Foundation

Vifuatavyo ni vipindi maalum vinavyoangazia shughuli za taasisi ya askofu mstaafu Dr Martin Shao (Askofu Shao Foundation).

Taasisi hii imejikita katika kusaidia watoto wanaoishi katika familia zenye uhitaji mkubwa ili nao waweze kuishi maisha ya kawaida kwa kuwapatia misaada ya chakula, bima ya afya, elimu na kadhalika.

Kipindi cha Pili – 31 Oktoba 2020

Kipindi cha Kwanza – 13 Juni 2020
Current track

Title

Artist

Background